Pata laini ya Lipa kwa M - PESA hapa.

  Karibu tukuhudumie, sisi tutakutengenezea laini ya lipa kwa M - PESA popote ulipo ndani ya mipaka ya Tanzania.....

Unachotakiwa kufanya ni kuja inbox kisha unitumie data zifuatazo

👉 TIN NUMBER (Picha ya kitambulisho au number yenyewe).

👉 Picha yako passport (Utajipiga picha kisha unitumie).

👉 Utasajili laini mpya ya Vodacom lakini hutaiwezesha na huduma ya M - PESA kisha utan'tumia hiyo number ya simu.

Tutaelekezana inbox kama kutakuwa na uhitaji wa data nyingine, baada ya kutuma data zako utafanya malipo kwenye LIPA NAMBA yetu kisha utasubiri ndani ya masaa 24 laini yako ya lipa kwa M - PESA itakuwa imekamilika utapewa LIPA NAMBA yako uendelee kufanya matumizi. 

(Gharama zetu ni shilingi 10,000/=)

kwa mawasiliano zaidi piga simu number +255755217052


Previous Post Next Post