Utu

Utu ni ile hali ya binadamu kutenda kadiri ya hadhi yake kati ya wanyama na viumbe vingine, inayomfanya astahili kupata haki zote za kijamii kama elimu, afya, ajira nk.

Hivyo ni jumla ya tabia njema anazopasa kuzionyesha mtu kwa jamii (hulka ya matendo mema).

Kwa maana nyingine, utu ni ile hali ya kutenda jambo kwa mwingine bila ya kutegemea malipo yoyote kutoka kwake.



Previous Post Next Post